Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala

Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala.

Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji.
 
Ningeshauli sentensi yako ikomee hapo , pasiwepo na neno watawala
"Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu"
Kwa sababu yeye anakosoa maovu yote bila kujali nani ameyatenda
hayo ni mawazo yangu
 
Back
Top Bottom