M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jun 6, 2025 #1 Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala. Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji.
Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala. Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji.
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Jun 6, 2025 #2 Ningeshauli sentensi yako ikomee hapo , pasiwepo na neno watawala "Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu" Kwa sababu yeye anakosoa maovu yote bila kujali nani ameyatenda hayo ni mawazo yangu
Ningeshauli sentensi yako ikomee hapo , pasiwepo na neno watawala "Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu" Kwa sababu yeye anakosoa maovu yote bila kujali nani ameyatenda hayo ni mawazo yangu
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Jun 6, 2025 #3 Muuza Kangala said: Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala. Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji. Click to expand... Na Mtumishi huyu asiogope yatakayomkuta kama yalivyowakuta Paulo na Silla ingawaje sikumbuki mstari gani maana nshakunywa Konyagi!
Muuza Kangala said: Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala. Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji. Click to expand... Na Mtumishi huyu asiogope yatakayomkuta kama yalivyowakuta Paulo na Silla ingawaje sikumbuki mstari gani maana nshakunywa Konyagi!
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jun 7, 2025 Thread starter #4 Mtoto wa Shule said: Na Mtumishi huyu asiogope yatakayomkuta kama yalivyowakuta Paulo na Silla ingawaje sikumbuki mstari gani maana nshakunywa Konyagi! Click to expand... Sawa kabisa
Mtoto wa Shule said: Na Mtumishi huyu asiogope yatakayomkuta kama yalivyowakuta Paulo na Silla ingawaje sikumbuki mstari gani maana nshakunywa Konyagi! Click to expand... Sawa kabisa