Hivi kufukuzwa kazi kuna uhusiano gani na hela zangu nilizochangia miaka. Ifike mahala tuheshimiane.
KINA MWABUKUSI MPO WAPI JUU YA SHERIA KANDAMIZI KAMA HIZI.
Kama kuna mwanasheria ningependa anifafanulie hili jambo.
Sheria za kikoloni mpaka leo zinaendelea kututesa zikisimamiwa na weusi wenzetu, ni ajabu.
Hii nchi inahitaji reform kila sekta sio kwenye siasa tu.
Waliofukuzwa na magufili walipoteza stahili zao zote.
Unanifikuza kazi bado unadhulumu pesa zangu.
Hizo pesa mwisho wake ni nini ? Nani huwa ananufaika nazo ?
Natamani sana kuifungulia makesi serikali kufuta haya masheris ila sina ujuzi wa sheria na pesa.
Angekuwepo marehemu Christopher Mtikila tungemuomba alisimamie hili jambo maana limeumiza wengi.