Mtumishi wa umma akihama mkoa hupoteza haki zake?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya kupandishwa cheo) kwenye mkoa wake wa zamani atalipwa au ndio atakuwa amepoteza stahiki zake za nyuma (arreas)? Naomba wana JF mtiririke.
 
,,,,,,,,,,,,,,kwa kadri ya uelewa wangu mtumishi huhama na hadhi,haki na stahili zake zote za kiutumishi,vinginevyo iwe ni adhabu.
 
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya kupandishwa cheo) kwenye mkoa wake wa zamani atalipwa au ndio atakuwa amepoteza stahiki zake za nyuma (arreas)? Naomba wana JF mtiririke.

kama ana madai atalipwa tu maana hiyo ni haki yake
 
hebu waliohama kwa mfano walim mtuambie zina data sheet nini? Na kama mtu alikuwa anadai mle ndani ya data sheet haiandikwi?
 
Haki yako ipo pale pale. Cha muhimu watanzania tusome vema nyaraka zinazotawala kazi zetu. Ingia tovuti ya utumishi utapata miongozo mingi au muombe afisa utumishi nyaraka ya hoja yako.
 
Back
Top Bottom