vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya kupandishwa cheo) kwenye mkoa wake wa zamani atalipwa au ndio atakuwa amepoteza stahiki zake za nyuma (arreas)? Naomba wana JF mtiririrke.