K Kyenyabasa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2023 Posts 247 Reaction score 715 Dec 25, 2023 #1 Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Dec 25, 2023 #2 kiongozi tumia simu yako tu,andika Kwa Google sheria za utumishi na mahusiano kazini