Mtumishi wa Umma anaweza kusimamishwa kazi kwa kesi ya Jinai ambayo haikufika Makahamani?

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Je mfanyakazi wa umma anaweza kusimamishwa kazi na kufukuzwa kazi kwa kesi ya jinai ambayo haikufika mahakamani? Kesi iliishia polisi na mfanyakazi kuonekana hana kosa la kupelekwa mahakamani. Msaada hapa jamani. (Kesi ya kuiba)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fungua shauri baraza la usuluishi na upatanishi CMA lipo kila wilaya, ukiambatanisha Land Form No.1 ukieleza hayo uliyoyasema in vizuri kuambatanisha mkataba was ajira na nyaraka nyinginezo.

kwa msaada zaidi njoo dm
Naomba namba yako mkuu tutete kidogo!
 
Acha kubumbabumba maneno. Kama kesi hii ni kweli nenda CMA ukafungue shauri la kupinga kuachishwa kazi. Ushindi njenje, utarudishwa kazinu na utakula mshahara wako wote kama vile ulikua kazin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…