Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi

Biashara gani hiyo ya 30k mkuu
Ziko nyingi!Fanya hivi kanunue debe 2 za pumba zote kwa thamani ya sh.8000 chukua mbolea hata ya kuku au mbuzi iweke kwenye ndoo ya plastik yenye vitundu vidogo vidogo chini kisha juu ya iyo mbolea weka pumba na mwagia maji baada ya siku hata 3 utapata funza wa kutosha wauzie wafugaji wa kuku au samaki tayari umeshapata chanzo cha kipato!!Hiyo njia ya kwanza,ya pili kama unaishi mjini kanunue mbegu za mbogamboga,hapo nyumbani badala ya kuwa na maua wewe weka mbogamboga,pesa itakufata nyumbani ulipo!!!Cha msingi usiangalie jirani watakuonaje,jiangalie we we kama wewe
 
Hii ni shule amazing sana mkuu....salute.
 
ASANTE
Hii ni shule amazing sana mkuu....salute.
kwa kunipa maua Yangu 🤲🏾🙏
Ushauri mzuri...
 
Wanaotajirika wengi wanaizalisha Pesa ndogo kuwa nyingi ni kuiweka tu akili Tayari
 
Mradi unaelewa matumizi sahihi ya mkopo wako sina wasiwasi na mkopaji
 
Unakopaje kabla haujafahamu fedha utaifanyia nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…