Nimeshasema mikopo yangu ni miaka mitatu mitatu , nimeajiriwa mwez wa 6 /2023 nikaenda bank kuchungulia how much naweza kupata loan nikaona ni pesa nzur naweza kujenga , nikavuta nimejenga chapu , bado finishing Tu ,
Hii finishing nitaifanya kupitia biashara zangu maana bado zina uwezo wa kunipa 30k as profit perday
Hapa nawaza tena nirud bank nikachukue mkopo wa biashara dhaman Niwekee nyumba niliyojenga kupitia mkopo wa utumish ili nipanue biashara,,, [emoji1] , nichukue mkopo wa miaka 3 ili nikishindwa kulipa nitaenda kuchukua mkopo tena kupitia mshahara nawapa hela yao ,, maana ule wa mwanzo utakuwa umeisha, hapa inahitaj akili Sana kunielewa
Hafu nyumba Ile naipangisha unakula zako 100k per month umekosa nn[emoji3]