Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi

Kila mmoja ana malengo yake kwenye maisha na hatufanani
Mimi napenda mademu wenye matege, vijeba na macho dungu.Kila mmoja ajiachie atakavyo maisha mafupi haya.
 
Processing fee ni WIZI, kwasababu ukienda kukopa suala ya kshughulikia mkopo wako ndio kazi yao, siyo tena uwalipe wao kufanya kazi yako.
Halafu eti na pesa ya wakili, ardhi nk unalipa wewe mkopaji( Hiyo ni kwa wafanyabiashara) ni wizi mtupu na sijui kwa nini serikali haingilii kati kuona huu WIZI wa waziwazi kabsa.
 
Na Mimi nilikuwa mjuaji Kama wewe ,kwasasa nimekubali yaishe naishi chini ya dollar .

Kutoka kunywa safari na Serengeti mpaka ulanzi kwa kisingizio Cha kujali afya yangu 😭😭

Alaaniwe aliyeleta mikopo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…