ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tena kama mbishi unapigwa chini unapewa kesi ya uhujumu uchumi,acount zako zote zinapigwa ban.after 3 yrs anaambiwa huna hatia.
kwa hekaheka za kesi yako kwa miaka 3 ukiachwa huru baada ya mwaka kupita unakufa.
waongoza nchi huwa ni mafia sana tena wanakuuwa tu bila shida ukikanyaga red line.
Pole fundi Bishoo na ww ipo siku utakula Kitengo usikate tamaa kikubwa ndo hicho ukiwa ndani ya system zingatia maokoto ila sio kuwapinga kwenye kampeni zao aisee hawanaga hurumabora niendelee kusaidia kubeba tofali kwenye masite tu
kwenye ukaguzi wakaguzi wakikuta hela ilienda kwenye mchango wa mwenge hata ukose kiambata hawatii neno
Hii na yenyewe ya moto usalama kama woteMitihani
Ref dokta ulimbokaTena kama mbishi unapigwa chini unapewa kesi ya uhujumu uchumi,acount zako zote zinapigwa ban.after 3 yrs anaambiwa huna hatia.
kwa hekaheka za kesi yako kwa miaka 3 ukiachwa huru baada ya mwaka kupita unakufa.
waongoza nchi huwa ni mafia sana tena wanakuuwa tu bila shida ukikanyaga red line.
kabsa mkuu kikubwa kujua kula na kipofuPole fundi Bishoo na ww ipo siku utakula Kitengo usikate tamaa kikubwa ndo hicho ukiwa ndani ya system zingatia maokoto ila sio kuwapinga kwenye kampeni zao aisee hawanaga huruma
Mwenge hata Madereva wanakuwa makini kishenzi eti Uko overtake tu nalo ni kosa baya sana wanaku fireMwenge ZINDIKO LILE LAZIMA Mlifuate Mtake msitake
Mimi nilikuwa najiona mlevi nalewa club nikawa sasa naogopa usalama kwamba watachafua file langu nikaja kusanuliwa na bro mmoja senior kwamba hizo sio kazi zao kufuatilia wanywaji kwanza ndo wanapenda muwe walevi wenzaoNilizingua one time kulikua na issue ya uzinduzi flani. Nikaeeka ngumu kwamba siendi. Taarifa zikafika uko. Nilipigwa onyo la mdomo na mtu ambae sijawahi mdhania. Vingine vyote wananikaushia mfn kuvaa jeans, raba, tshirt, kuchelewa, ila ile siku hadi niliogopa
Mwenge ule sijui una nini cha ajabu unatisha mchana tu baadae jioni ufuska ruksa ila sio masihara muda wa kukimbizwaKweli kabisa. Hasa hasa Mwenge