New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Sure mkuuTena kama mbishi unapigwa chini unapewa kesi ya uhujumu uchumi,acount zako zote zinapigwa ban.after 3 yrs anaambiwa huna hatia.
kwa hekaheka za kesi yako kwa miaka 3 ukiachwa huru baada ya mwaka kupita unakufa.
waongoza nchi huwa ni mafia sana tena wanakuuwa tu bila shida ukikanyaga red line.
Mfano una kibiashara chako waje wale wanaokusanya mchango wa mwenge uwatimue,halafu akaseme
Ila tunaishi kindezi saana,