Tena kama mbishi unapigwa chini unapewa kesi ya uhujumu uchumi,acount zako zote zinapigwa ban.after 3 yrs anaambiwa huna hatia.
kwa hekaheka za kesi yako kwa miaka 3 ukiachwa huru baada ya mwaka kupita unakufa.
waongoza nchi huwa ni mafia sana tena wanakuuwa tu bila shida ukikanyaga red line.