Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria
Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa kisheria msikubali jiteteeni, mtaenda kusema mahakani kuwa alitaka kukamata bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Aidha, nitoe wito kwa watumishi wa serikali na jeshi la polisi kuzingatia kufuata utaratibu wa kisheria katika kutekeleza wajibu wao na sio vinginevyo.