Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Maandazi ya Mungu yahusike kwenye kujitetea au ndio kupiga kelele tu na watu hawajali?Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa kisheria msikubali jiteteeni, mtaenda kusema mahakani kuwa alitaka kukamata bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Jeshi hili la polisi siyo sawa na jeshi lile rafiki la mkoloni, jeshi lile rafiki liliondoka bila kuwa na tuhuma zozote zile. Jeshi hili litakukamata tu utake usitake kwani watakuja na silaha kumi huku wao wakiwa saba! Hapo ndipo utawajua wao si askari wa kawaida.Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria
Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa kisheria msikubali jiteteeni, mtaenda kusema mahakani kuwa alitaka kukamata bila kufuata utaratibu wa kisheria.
aidha, nitoe wito kwa watumishi wa serikali na jeshi la polisi kuzingatia kufuata utaratibu wa kisheria katika kutekeleza wajibu wao na sio vinginevyo.
Piga keleleJeshi hili la polisi siyo sawa na jeshi lile rafiki la mkoloni, jeshi lile rafiki liliondoka bila kuwa na tuhuma zozote zile. Jeshi hili litakukamata tu utake usitake kwani watakuja na silaha kumi huku wao wakiwa saba! Hapo ndipo utawajua wao si askari wa kawaida.
Mbona picha zinaonesha wakipiga kelele huku watazamaji wakiwa hatua kumi wanatia stori kama igizo la Bongo muvi.Piga kelele
ruksa kama janaKwa hio Maandazi ya Mungu yahusike?
Piga vitofali vya ugoko na vingine vya sura mpaka waseme wametumwa na nani mpaka wenzao wafike hao PoliCCM watakuta tayari watu washavunjwavunjwa viungo pua haieleweki km pua au nini full kuumuka umukaruksa kama jana
wewe mbumbumbu mpaka kesho tuna liacha jeshi lifanye kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na sio kitu kingineAcha jeshi lifanye kazi yake ww umelala wenzako wako patrol
Mahali popote unapochukuliwa na polisi ni lazima mjumbe wa sehemu husika ajulishwe na aelezwe sababu za kumchukuwa.Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria
Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa kisheria msikubali jiteteeni, mtaenda kusema mahakani kuwa alitaka kukamata bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Aidha, nitoe wito kwa watumishi wa serikali na jeshi la polisi kuzingatia kufuata utaratibu wa kisheria katika kutekeleza wajibu wao na sio vinginevyo.
hakikisha ndugu yako, rafiki yako, au jirani yako aliyekamatwa anafikishwa kwenye kituo kinacho julikana hata ukimtafuta unampata, kama ukimkosa utadili na hao walio mfuata katika kujitambulisha kwao utaona majina yao na namba zaoMahali popote unapochukuliwa na polisi ni lazima mjumbe wa sehemu husika ajulishwe na aelezwe sababu za kumchukuwa.
Nchi ilipofikia mtu yeyote anaweza kuteka akijisikia kufanya hivyo.Hivi TRA wanaruhusiwa kukamata mtu kisheria? Ni kwanini hawafanyi hivyo wakiwa na polisi.
Hivi wakitoa list ya magari yakakamatwa na polisi wao wakaitwa si inarahisisha kazi yao?
Ila inajulikana, hizi task force na vitengo kama hivyo ni wala rushwa wakubwa, ndio maana wanajitia kimbele mbele. Ni wakati sasa Watanzania tuamue kupambana na wahuni hawa wasiofuata sheria.