CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini
NB: Mimi mtu wa kaunta miaka mingi sana
Tabia chafu sana!Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini
NB: Mimi mtu wa kaunta miaka mingi sana
siri yetu....hatukwambii.....
Zamani walikuwa wanatumia maji,siku hizi wanatumia tissue kwa sababu wengine wanavaa vinguo vinabana wakitumia maji wanapata fangasi,wengine wanatumia kwa sababu ya mkumbo kuonekana kama anaenda na wakati.
Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini
NB: Mimi mtu wa kaunta miaka mingi sana
siri yetu....hatukwambii.....
Bana am interested...ni PM basi
maumbile ya wanawake na wanaume ni tofauti.... Aendapo msalani tissue ni muhimu saana. Ila tu hao wanaoenda counter wanatuchafulia image, ndio maana mikoba yetu ni mikubwa for kweli kabisa a lady hatakiwi akose tissue kwenye mkoba wake. Imo kuenda counter kuchukua hizo napkin ni kujichora saana. Ndio maana katika bar hizi zenye hadhi kubwa huwezi kosa tissue msalani.... hizi zenye hadhi ndogo huna hata haja ya kuweka, dada wa kwanza tu akija na kuona ipo pale anaibeba na kuweka kwenye mkoba wake.
usimwambie
umeambiwa siri yao..eboo
Tabia chafu sana!
Zile napkins ni za kazi maalum pale counter na si mtu achukue kwenda nazo kumwona EVA huko banda la nyuma!
Ukiona mwanamke anafanya hivyo ujue kakokotwa Bar na mtu kwa mtindo wa Vodafasta, hakuwa na mpango wa mtoko!
Wanawake niwajuao mimi wanakuwa full makitu kule kwenye begi zao kubwa ka gunia!
Nyakwaratony hebu edit kidogo post yako kuna mahali umeandika neno baya miaka ya........