Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Tabia chafu sana!
Zile napkins ni za kazi maalum pale counter na si mtu achukue kwenda nazo kumwona EVA huko banda la nyuma!
Ukiona mwanamke anafanya hivyo ujue kakokotwa Bar na mtu kwa mtindo wa Vodafasta, hakuwa na mpango wa mtoko!
Wanawake niwajuao mimi wanakuwa full makitu kule kwenye begi zao kubwa ka gunia!
dah....nisamehe shemeji....ina maana siku ile tulivyokutana ghafla ukaniambia nikanywe soda.....ndio tumefika huku.....najuta.....