Mtumizi ya Tissue Bar

wanaenda kutawadhia...... maana vyombo vya vyoo vya uma au vinavyotumiwa na watu wengi haviaminiki usafi wake...... hivyo heri kutumia tissue kuliko kwenda kuzoa yakuzoleka...

Umewahi tawazia gunzi?
 
Hapa ndio hua nachoka na wabongo, yaani ustaarabu ni 0%

Kiongozi watu wanaiba mpaka tuspiki bar

Hahaaa umenikumbusha mbali sana mkuu, wakati nipo Azania Sec School tulikua na tabia tukienda kula kwa mama Ntilie tunahakikisha tunaondoka na Sukari yote kwenye vibakuli
 
Kiongozi watu wanaiba mpaka tuspiki bar

Chupa na glass ndo usiseme wanadada wanasunda kwenye mikoba
Unamtembelea mtu unakuta nyumbani kwake ana glass za Serengeti, Opener ya Safari lager unajiuliza huyu mama anafanya kazi TBL au SBL? kumbe akinywa mhudumu akizubaa anasunda kwenye mkoba na kuondoka navyo wengine mpaka vijiko
 
Watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa huu?........Kleptomania (Psychiatry)-a strong impulse to steal, esp when there is no obvious motivation
 
Watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa huu?........Kleptomania (Psychiatry)-a strong impulse to steal, esp when there is no obvious motivation

Inasikitisha sana dada kuiba kijiko bar
 
wanaenda kutawadhia...... maana vyombo vya vyoo vya uma au vinavyotumiwa na watu wengi haviaminiki usafi wake...... hivyo heri kutumia tissue kuliko kwenda kuzoa yakuzoleka...

kweli kabisa huwa wanaenda kutawazia kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna tishu soo walikuwa wanakausha tu au wanatembea na toilet paper aka TP..

ndetichia like this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…