Tabia chafu sana!
Zile napkins ni za kazi maalum pale counter na si mtu achukue kwenda nazo kumwona EVA huko banda la nyuma!
Ukiona mwanamke anafanya hivyo ujue kakokotwa Bar na mtu kwa mtindo wa Vodafasta, hakuwa na mpango wa mtoko!
Wanawake niwajuao mimi wanakuwa full makitu kule kwenye begi zao kubwa ka gunia!
dah....nisamehe shemeji....ina maana siku ile tulivyokutana ghafla ukaniambia nikanywe soda.....ndio tumefika huku.....najuta.....
Thnx mkuu typing error hiyo c unajua tena!Nyakwaratony hebu edit kidogo post yako kuna mahali umeandika neno baya miaka ya........
mh..ilikuwa wapi hiyo?..na lini?...ufafanuzi plz..
....bebii...ni siku ile tu huyu shemeji alikutana na mimi......ila huyu shemeji kimeo....sitaki uwe rafiki yake
Umewahi tawazia gunzi?
kweli kabisa huwa wanaenda kutawazia kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna tishu soo walikuwa wanakausha tu au wanatembea na toilet paper aka TP..
ndetichia like this