mtumwa hauawi jamani......

Babu DC nakubaliana na wewe maana kama bint akizaa inamletea matatizo ni bora atulie kwanza mpaka aone upepo unaelekea kusini au vinginevyo!
 
Babu DC nakubaliana na wewe maana kama bint akizaa inamletea matatizo ni bora atulie kwanza mpaka aone upepo unaelekea kusini au vinginevyo!


I wish wangetusikiliza.....

Tena hawa wa dotcom ndio macharuko kabisa...

Kuna kabinti kamezaa juzi, mtoto ana miezi kama 4 hivi. Majuzi kamempigia baba wa mtoto kumweleza kuwa mtoto anaumwa (anaharisha) na kwa hiyo kanataka kumpeleka hospitali. Baba wa mtoto akajibu kuwa kwa sasa hana pesa....Kapo nyumbani kanaendelea kuwasumbua wazazi na mzigo wake!

Babu DC!!
 
mwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.

In other words nimwambie aishi kwa matumaini?
Sawa mkuu nitafikisha ujumbe.
 
Well said mkuu.nakupa 'like'.
 

Poor cindy,njemba ilimpandisha juu ya mnazi kisha ikamwachia pwaaaa
 
Last edited by a moderator:
Amwagee wa nini naye ni married? Kama mumewe bado yupo hai huyo bado kaolewa tu.................njemba haina sababu ya kumkashifu Mwenyezi Mungu kwa kuzini na mke wa mtu....lol.....................Kaunga you are better than this nonsense

Kwa hiyo talaka za mahakamani hazina maana mwanamke anaendelea kuwa mke wa mtu tu? I wonder........
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli Babu DC haya mambo watu wanaweza kuyachukulia kawaida lakini ni sirious,wazazi wengi wameingia kwenye usumbufu na mahangaiko ya kulea wajukuu pamoja na mama wa wajukuu hao,yaani wanawe.Hili ni tatizo kubwa,mabinti wanatakiwa waepuke ujauzito usiokua na tija.Kuna binti alizalishwa watoto wa3 midume mi3 tofauti,binti akatelekezewa watoto,miezi miwili iliyopita binti ametangulia mbele wa haki midume iko mtaani haina habari na watoto,bibi ya watoto wale anahangaika nao kila uchao!
 
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?
 
Too sad Eiyer,lakini jamii zetu ndivyo zilivyo.Ila huyu mama akipata fellow divorcee it might work.
 
Babu DC nakubaliana na wewe maana kama bint akizaa inamletea matatizo ni bora atulie kwanza mpaka aone upepo unaelekea kusini au vinginevyo!

Tatizo muda huwa haumsubiri binadamu,imagine mdada wa watu anamaliza chuo at 25,anaanza kusubiria mr right,huyo ana hit 30 hajampata,at 35 unadhani ataamua nini?
 
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?

.....kha? Maskini wajane..... Ama hizi mila na desturi zilikuwa na lengo la kuwanyanyapaa wajane. Labda ziliwekwa kuwahofisha wanawake waogope madhara ya kuachika.

Namshukuru mw'mungu imani yangu inaniruhusu kuoa mjane, na haijalishi ni tasa au ana wanawe. Huyo baba huenda amekimbia 'majukumu'.....hakumpenda, alimtamani tu. Love is above all the customs and traditions (incl. Taboos)
 
Bishanga hakuna anaewakataza mabinti kuzaa,but wanapopanga kuzaa wazae wakiwa wamejiandaa wasitarajie wazazi wenzao au wazazi wao,hao wawafanye kama extra tu.I use to tell my sister,asidhani kuwa nitakuja gombana nae kisa nimemkuta na mwanaume.Nilimwambia ajifunze kujilinda na kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kututegemea sisi.Nikamwambia akiharibu atakua anaharibu maisha yake mwenyewe wala sio ya mtu mwingine!So binti yoyote anataki aelewe hivyo.Wapo ambao wamejikuta wanafanya kazi za ajabu kama vile ukahaba ili wakidhi mahitaji ya watoto wao,matokeo yake wanaishia kupoteza maisha yao,what a shame!
 
Babu Dark City hapa huyu jamaa alikosea
Alichotakiwa kufanya sio kukata mawasiliano namna hiyo angemweleza tu ukweli you never no tommorow bwana..
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda hii Eiyer........Jipange sawasawa Binti/mdada/Mwanamke. Ishi leo bwana, kesho waijua wewe? Dah life ni wewe tu jinsi unavyolitengeneza. Ukijikuta umefikia hapo pakuwa na mtoto basi SIMAMA kwa miguu yako, na Mungu atakusaidia, kwa nini kujitesa nafsi kwa uamuzi uliouamua mwenyewe?

Imeandikwa Amelaaniwa amtegemea mwanadamu, Wajibika katika yale yanayokuhusu wala huyo mtu wakudhani kuwa mtoto wako ni mzigo hatajitokeza. Manake mwenyewe akikuangalia atashangaa umewezaje? Nanyi wakaka bwana dah mmezidi kutunyanyapaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?

Fair or not, but it is a reality....

Tunatakiwa kuhangaika ili tuone jinsi ya kukabiliana nayo ndipo tuanze kujadili kama kweli ni halali!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…