mtumwa hauawi jamani......

mtumwa hauawi jamani......

OLESAIDIMU
I am fine my bro!
Ila hiyo assumption ni ya kwenu; lots of women can handle that truth. Nafikiri ni guilty zenu tu ndizo zawasumbua kwani kwa case ya huyo kaka, few minutes ago alijieleza kuwa he loves her so much; sasa imagine after a hard truth atasemaje kuwa nimechange mind!
 
Last edited by a moderator:
Dark City umesema vema, kuwa si wanaume wote wenye guts za kumwambia mwanamke ukweli mchungu; where l come from we call them cowards. Bishanga anatupia mpira wanawake eti we can not handle kuambiwa ukweli, we can handle far worse things than that! Wengi kinachotuboa ni mtu kusepa kimya kimya, kusema ukweli mtu wa hivyo mimi personally namdharau sana.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: LD
Nanii alianza zamaniiii.Wewe tafuta kitoroli cha kubebea tu.
kubebea nini? aho kuku anaoiba kisutu sokoni kila kukicha? subiri siku akidakwa ndo utakuja kwa bishy mikono juu.
 
Nimeipenda hii Eiyer........Jipange sawasawa Binti/mdada/Mwanamke. Ishi leo bwana, kesho waijua wewe? Dah life ni wewe tu jinsi unavyolitengeneza. Ukijikuta umefikia hapo pakuwa na mtoto basi SIMAMA kwa miguu yako, na Mungu atakusaidia, kwa nini kujitesa nafsi kwa uamuzi uliouamua mwenyewe?

Imeandikwa Amelaaniwa amtegemea mwanadamu, Wajibika katika yale yanayokuhusu wala huyo mtu wakudhani kuwa mtoto wako ni mzigo hatajitokeza. Manake mwenyewe akikuangalia atashangaa umewezaje? Nanyi wakaka bwana dah mmezidi kutunyanyapaa!!!!

LD,

Naomba kukueleza kwamba, si kweli kwamba wakati wote wanaume wanaogopa mzigo kwa maana ya kugharimia, hata kitendo cha kuwa na mwenza mwenye watoto mara nyingi kinawapa wakati mgumu....

Tumeyaona na tuna uzoefu na hayo mambo!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kaunga,Moja kati ya misimamo yangu niliyojiwekea ni kumwambia ukweli mwanamke yoyote ninaetaka kuanzisha uhusiano nae!I dont care atanionaje!I knw its gud for both of us!And from that nimegundua wanawake wengi they can't handle the truth,hata awe educated namna gani.Lakini naamini wapo wachache wanaoweza!
 
Nimeipenda hii Eiyer........Jipange sawasawa Binti/mdada/Mwanamke. Ishi leo bwana, kesho waijua wewe? Dah life ni wewe tu jinsi unavyolitengeneza. Ukijikuta umefikia hapo pakuwa na mtoto basi SIMAMA kwa miguu yako, na Mungu atakusaidia, kwa nini kujitesa nafsi kwa uamuzi uliouamua mwenyewe?

Imeandikwa Amelaaniwa amtegemea mwanadamu, Wajibika katika yale yanayokuhusu wala huyo mtu wakudhani kuwa mtoto wako ni mzigo hatajitokeza. Manake mwenyewe akikuangalia atashangaa umewezaje? Nanyi wakaka bwana dah mmezidi kutunyanyapaa!!!!
Naona ndio maana unamshukuru Mungu kwa wakati ulio nao sasa.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Dark City umesema vema, kuwa si wanaume wote wenye guts za kumwambia mwanamke ukweli mchungu; where l come from we call them cowards. Bishanga anatupia mpira wanawake eti we can not handle kuambiwa ukweli, we can handle far worse things than that! Wengi kinachotuboa ni mtu kusepa kimya kimya, kusema ukweli mtu wa hivyo mimi personally namdharau sana.
Kaunga,wengi wamekunywa sumu lakini kwa kuambiwa ...'kuanzia leo mi basi'.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,Moja kati ya misimamo yangu niliyojiwekea ni kumwambia ukweli mwanamke yoyote ninaetaka kuanzisha uhusiano nae!I dont care atanionaje!I knw its gud for both of us!And from that nimegundua wanawake wengi they can't handle the truth,hata awe educated namna gani.Lakini naamini wapo wachache wanaoweza!

Ukisema they can't handle unamaana gani? Kuumia? Ofcourse ataumia coz alikupenda, maybe she will shed some tears, that's very normal lkn it will take less time kuumia kuliko kuondoka bila a word!

Kati ya hao, wangapi wamejiua? Hata wanaume, ukibreak nao; they will keep begging for some time hoping utachange mind! Si umeona mkaka aliyetoswa thru SMS kwa ajili ya distance.

Wanaume wengi are scared of women tears. Hivyo kutompa ukweli ni cowardness Yao na si for the sake of women's feelings!
 
Kaunga,wengi wamekunywa sumu lakini kwa kuambiwa ...'kuanzia leo mi basi'.

Are you sure hakuna waliokunywa sumu baada ya mwanaume kukata communication? Na wanaume wangapi nao wamejiua baada ya kukataliwa na wapenzi wao?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,wanawake hawauwezi ukweli wa aina yoyote from day one.Unamtongoza,unamwambia mimi kazi yangu mpiga debe,anakula kona,akikubali siku akigundua ulimwambia ukweli anakuambia"aaah mi nilifikiri ungenidanganya hata kidogo"!Ukija kwenye situation ya Cindy hapo kuna mkanganyiko zaidi ila kwenye kuambiwa ukweli huenda siredi ingekua ya R.I.P Cindy kama ukweli ungewekwa wazi.Yes iko midume mijinga inajiua kwa ajili ya ukweli ila wajinga hawa ni wachache ukilinganisha na wanawake!
 
Sijasema kuwa hakuna wanaume single (without kids) ambao wameoa wanawake wenye watoto...Wapo wengi sana. Ila ukiangalia hizo ndoa kwa jicho la utu uzima, nyingi zinaelea hewani. Hata hivyo, zipo ndoa chache ambazo mwanamke kaolewa na mtoto au watoto lakini ziko imara.

Nakushauri utumie akili kama za Candy kuwapima hao wanaokutafuta wewe ili ujiridhishe kwamba siku moja unaweza kujenga ndoa imara kama hizo chache. Ila usisahau kuwa probability siku zote inalia upande ambao uko karibu na 1 (100%).

Naelewa kuwa wanaume wanaachika au kuacha sana na kurudia kuoa...Hata hivyo, katika mambo haya ya ndoa wanaume na wanawake ni viumbe tofauti kabisa...!..Ndiyo maana ushauri wangu huu nimewapelekea wajukuu zangu wapendwa wa kike...Nawependa sana na sitaki wala sitamani kuona wanaweka maisha yao rehani!

Babu DC!!

Nashukuru sana kwa hekima zako Dark City itabidi nitumie akili kama za Cindy nikijumlisha naza kwangu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaitwa killing me softly......ni utaratibu mzuri tu Kaunga unazuia watu wasinywe sumu.

Lakini Bishanga hebu kamuulize huyo mama Chanja wako vizuri huyo binti(Cindy) alikua ameshajiwekea kichwani kwamba amepata bwana au?maana sitegemei ukutane na mtu siku ya kwanza tu halafu uone kuwa umeopoa!!(enewei,tunatofautiana lakini lisilowezekana kwangu lawezekana kwa mwingine). Kwa mtazamo wangu mwanamke yeyote mwenye busara zake na kama alishapitia maswahiba ya kutosha sidhani kama angeweza kufikiria hivyo.....
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City hapa huyu jamaa alikosea
Alichotakiwa kufanya sio kukata mawasiliano namna hiyo angemweleza tu ukweli you never no tommorow bwana..

FL1,

Hata mie nimejaribu sana kujiweka kwenye nafasi ya huyo mwanamume ili nione ningefanyaje baada ya kuelezwa ukweli mchungu kama huo....Nasikitika kusema kuwa may be, may be, hata mie ningesepa kimya kimya au ningepunguza speed hadi mwisho wa siku nirudi kwenye zero...!!

Nisingeweza kumweleza ukweli hata kidogo...!

Dark City umesema vema, kuwa si wanaume wote wenye guts za kumwambia mwanamke ukweli mchungu; where l come from we call them cowards. Bishanga anatupia mpira wanawake eti we can not handle kuambiwa ukweli, we can handle far worse things than that! Wengi kinachotuboa ni mtu kusepa kimya kimya, kusema ukweli mtu wa hivyo mimi personally namdharau sana.

Naomba na mimi niitwe coward, kwani kama nilivyosema hapo juu, nisingeweza kabisa na sina guts za kumweleza dada wa watu ukweli ambao kwa ufupi anaujua; na labda ndiyo maana alijiwahi kuyasema hayo yote.

May be ingejaribu kutafuta exit strategy nyingine, ila ukweli ni kwamba nisingejaribu kufungua mdomo wangu kumweleza jambo kama hilo!!

Babu DC!!
 
Kaunga,Moja kati ya misimamo yangu niliyojiwekea ni kumwambia ukweli mwanamke yoyote ninaetaka kuanzisha uhusiano nae!I dont care atanionaje!I knw its gud for both of us!And from that nimegundua wanawake wengi they can't handle the truth,hata awe educated namna gani.Lakini naamini wapo wachache wanaoweza!

Kweli kaka msimamo wako ni mzuri sana,

Hivi kwenye mahusiano, ni lazima kila ukweli usemwe? Na unaona wewe ni rahisi kumweleza mtu mapungufu yake live?

Mfano, unaweza kumwambia mwanamke kwamba, mie naona hatuwezi kuendelea na mahusiano kwa sababu una makengeza au kovu kwenye makalio ambavyo vinanikera?

Babu DC!!
 
Kaunga,wanawake hawauwezi ukweli wa aina yoyote from day one.Unamtongoza,unamwambia mimi kazi yangu mpiga debe,anakula kona,akikubali siku akigundua ulimwambia ukweli anakuambia"aaah mi nilifikiri ungenidanganya hata kidogo"!Ukija kwenye situation ya Cindy hapo kuna mkanganyiko zaidi ila kwenye kuambiwa ukweli huenda siredi ingekua ya R.I.P Cindy kama ukweli ungewekwa wazi.Yes iko midume mijinga inajiua kwa ajili ya ukweli ila wajinga hawa ni wachache ukilinganisha na wanawake!
Yaweza kuwa wengi hawawezi ila sio wote.

Mimi binafsi napenda kujua ukweli mapema. Kama ni mpiga debe nimkubali nikijua ni mpiga debe na sio dereva.
 
kwanza nimpongeze Cindy kwa kuwa wazi kueleza maisha yake mapema bila kuficha ili muhusika akitaka aamue kunyoa ama kusuka......kuhusu mwanaume kushindwa kumweleza ukweli basi angeendelea na mawasiliano ya salam huku akipunguza speed lakini kukata mawasiliano ghafla yameacha maswali mengi kwa mdada hata kama hakuwa na wazo kwamba huyu ndie atampa nafasi ni kutokana na alivyokuwa anahangaika mwanzo na baada ya hapo mawasiliano ya kaenda mrama.
Babu DC nakusalimu
 
Back
Top Bottom