Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

You are such a lazy thinker and your long comment attracts a long 'answer shit' and if I give you one it is going to be long indeed. The one too long like bullshit! Watch out!

You have such a small brain. I wonder how you managed to live with such a filthy matter in your head. For you being alive on such a brain it confirms to me that miracles exist. If your brain was fitted to the mosquito, it wouldn’t have lived an hour because that brain would not be able to function even to such a small creature…

Hata hueleweki unaomba msamaha au unaniomba hela...
Hebu nenda katawaze kwanza, kisha uje uongee kwa vituo..
 
AISEE mleta maada umewahi hata kuishughulisha akili yako kuwaza kwamba ni kwann ile mitungi ambayo ujazo wa gesi ni 6kg, ukiwa empty mtungi tu pekeyake unakuwa na 8kg????? sababu ukiwa full ukipima inakuwa 14.4kg..... Kwanini wasingetafuta mtungi wenye uzito wa 1kg au 2kg ndio waweke hiyo gas yenye uzito wa 6kg????? Kusema kwamba unataka kuona kilichomo ndani, aiseee hizi gas hakuna mtu angetamani kutumia maana watu wangekuwa wanakufa kila kunapoitwa leo inapotokea ajali ndogo tu ya moto..... Walioamua kwamba mtungi uwe wa chuma na uwe mzito vile ukiwa empty walikuwa na akili sana.....
 
Duuu elimu ya gas tz ni ndogo sana!!! Unapofikiria kuhusu gas , lazima ujue unazungungumzia gas aina ipi , ile tunayotumia ni LPG na ikitokea inavuja inakua kama maji sema ina more volatile...

Na huwezi sema kuwa huwezi tambua kuwa gas inaelekea kuisha kuna viashiria , kama pressure ya ule moto inapungua , na ukiona ivo unaeza ukapima cylinder yako...

Maana ka cylinder yako ni ya 6kg Pack na imeandikwa 14.6kg basi ujue uzito wa cylindee ukiwa hauna gas ni 8.6kg.

Maaana kiwango cha gas huwa ni only 6kg
 
Mm nipo kwenye LPG Gas zaidi ya miaka 9 kwa kifupi ili usiibiwe akikisha unapimiwa pale juu ya mtungi pameandikwa ujazo wa mtungi na uzito wa mtungi mtungi wako ukiisha wenye ujazo wa 15kg Oryx ukiupima wakati hauna gas utakuwa na uzito wa 15.1 au inategemeana na uzito wa mitungi inatofautiana ila gas ujazo unalingana 15kg sasa basi cha kufanya ili kujua mzani upo sawa hauja binywa pima uzito wa mtungi mtupu ndio utapata ukweli kisha ndio upime mtungi ulioja upate 30.3kg na point zilozoandikwa kwenye mwenye swali karbu
 
Hakuna kulemba, ngoja nende kwenye point directly.

Ni wangapi kati yetu tunaofaamu kiasi cha pesa tunacholipa kwa ajili ya manunuzi ya gase ya matumizi ya nyumbani kinaendana na ujazo halisi haliyakuwa baadhi yetu mara nyingi tumekuwa tu wapiga simu ili tuletewe ujazo wa gase unaofanana na mtungi ulioisha?.

Aidha ni wangapi wenye Mizani kwa ajili ya kupima mtungi wenye ujazo lengwa mara tu uletewapo na mletaji (mfanya biashara) huyo?.

Maoni yangu, ni vema sasa nyie wafanya biashara mtuletee mitungi ionekanayo hadi ndani kama chupa ya soda au konyagi ili kutuondolea wasisi wa kuuziwa Mbuzi kwenye gunia(kuchakachuliwa).

Ahsanten.
Hahaahha, watengeneze mitungi ya kioo siyo?...we jamaa una hatari unafikiri bia hiyo, hiyo gas imejazwa kwa mgandamizo mkubwa mno ndani ya hiyo cylinder, kama mnataka mtungi wa kioo basi 15kg itakaa kwenye mtungi mkubwa mno kama tenki la mafuta. BTW, wasambazaji wa gesi karibia wote sku hizi wanatembea na mzani, soma uzito wa mtungi ukiwa empty palee juu, pata uzito wa mtungi ukiwa umejaa then unatoa uzito wa chupa empty unapata uzito halisi.
 
Hivi wewe unawaeza kuona gesi? Nadhani hukusoma kemia, na kama ulisoma utagundua kuwa gesi nyingi zina 'the following physical properties'... They are color less, test less and in most cases odor less...
Vile viberiti vya gas mbona kule ndani unaona kabisa kama maji vile...

Fafanua vizuri mkuu...!!!
 
QqqqqqQQqqqqqqQqqqqqqqqqqqQqQQQqqqqqqqqqQQQqqqqqQqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQEEEEQEEQQQQQQQQQQQQQQQEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEQEQEEEQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQAQQQQQQEQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEQQQQQQEEEEEEEEEEEEEEQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQEEEEEEQQQQEQQE
 
Ni vema kuna viberiti vya gesi vinaonekana pia
 
Hakuna kulemba, ngoja nende kwenye point directly.

Ni wangapi kati yetu tunaofaamu kiasi cha pesa tunacholipa kwa ajili ya manunuzi ya gase ya matumizi ya nyumbani kinaendana na ujazo halisi haliyakuwa baadhi yetu mara nyingi tumekuwa tu wapiga simu ili tuletewe ujazo wa gase unaofanana na mtungi ulioisha?.

Aidha ni wangapi wenye Mizani kwa ajili ya kupima mtungi wenye ujazo lengwa mara tu uletewapo na mletaji (mfanya biashara) huyo?.

Maoni yangu, ni vema sasa nyie wafanya biashara mtuletee mitungi ionekanayo hadi ndani kama chupa ya soda au konyagi ili kutuondolea wasisi wa kuuziwa Mbuzi kwenye gunia(kuchakachuliwa).

Ahsanten.
Hiyo mitungi LAKE GAS wanayo,
Labda ushindwe bei tu
 
Dah.. msiwe mnapinga tu bila kuwa na ufaham jaman, aliyekwambia kitu colorless hakionekani, kwani maji yana rangi gani, mbona tunayaona mkuu, aliyekwambia gas za kupikia ni odorless nani, mbona ukiwasha tu jiko kuna harufu fulani, au ukasahau kufunga unaskia harufu yake

Nadhan jamaa kafikiri vizur nje ya box, si jambo zuri kumkebehi mtu.

Hv vile vibiriti vya gesi vile mbona huwa tunaona kabisa kilichomo ndani, tuanzie hapo.
point!
 
Unaweza kununua gauge, na kuweka kwenye mdomo wa mtu, inasoma kiasi kilichomo ndani!
 
Hivi wewe unawaeza kuona gesi? Nadhani hukusoma kemia, na kama ulisoma utagundua kuwa gesi nyingi zina 'the following physical properties'... They are color less, test less and in most cases odor less...
Ww hujawah tumia kiberit cha gesi mkuu
 
Hivi wewe unawaeza kuona gesi? Nadhani hukusoma kemia, na kama ulisoma utagundua kuwa gesi nyingi zina 'the following physical properties'... They are color less, test less and in most cases odor less...
Kuna gas zenye rangi ndugu.
 
oblong_sight_glass.jpg
 
Back
Top Bottom