Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi

Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa hawana shukurani hasa ndugu ata umtende jema gani bado haoni anaona wewe kumsaidia ni haki yake

Pili ushirikiano inapo kuja swala la member wa familia kapigwa au kafanyiwa sivyo atakama kosa lake basi familia ina simama nae

Tatu inaonyesha hakuna mafanikio yasio kuwa na changamoto muhimu kuwa jasiri na kupambana zaidi usirudi uliko toka

Wausika wa hii hadith wanao nifuraisha kwa uhusika wao wa kwanza Siwa huyu bhna ana maneno yake mpaka unajiuliza hivi haya yapo kwenye script kweli 😂

Alafu kuna mwadawa huyu kiboko bint msumi kauvaa usika vizuri ila anaonekana hata nje ya sanaa yupo hivyo 😂
 
Back
Top Bottom