Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Kwa wake ambao hajawahi kuiona KOMBOLELA au ulipitwa
Angalia episode 1 hii apa 🔥🔥
👇👇👇👇

 
Kwa ambao hawakufatilia season 1 nashauri mdownload Azam tv Max mtaikuta humo.
 
Wabongo wakiwa serious na kuact ule umasikini wao na maisha yao halisi huwa wako vizuri sana ila kwenye mambo ya kuiga mbele na utajiri huwa wanaharibu sana.
Hiyo sijaiona zaidi ya clips mbalimbalu ila inaonesha ni nzuri na watu wameipenda kwa kuakisi tabia na maisha yao halisi ya umasikini, uvivu, uchoyo, roho mbaya na unafiki.

Nadhani ipo kama siri ya mtungi na zahanati ya kijiji.
 
"Girlfriend wa baba Jetlii..."
"Koma wewe mpaka makaburi yenu na mimba zenu zote..."
Mwadawa a.k.a Govinda
Siwa maneno mengi....
Mzee Kikala anakoma mbona
 
Back
Top Bottom