MTV Base West Wamekubali Haters toka Buza kaeni kwa kutulia

MTV Base West Wamekubali Haters toka Buza kaeni kwa kutulia

Hongereni Sana team kibas ... Ngoma ya kiba Kali sana . tena Sana hata video yake iko bam bam

Naona kelele zenu zimesaidia king kabadilika anaimba mangoma haswaa

Hit juu ya hit ..back to back ..video ya kijanja
 
Muulize mama yake hadija kopa nimekuuliza hivyo nimeshindwa kujua wewe Ni mshabiki wa Kiba au Vee money?
Khaaaaaaaah it's serious?, kwan wee kwakuwa upo team tecno wereva bas msanii mwingne hukumbali?, poleeee San ama kweli yajayo yanastusha. Damon lol
 
Alikiiba hoi..ana haha kupat views...au ndo hvy hapend show off
 
Back
Top Bottom