Ayo matokeo ya nn mkuu...?Natabiri Uzi huu,kuwa na kejeri nyingi saaana asubuhi.Povu litatosha kufulia shati la shule.
Mpaka sasa red Capet.
1.Yemi Slade
2.Patoranking
3.Mond Platnumz
4.Kiba
Matokeo Mond 1 Kiba 0.
Na ni Nani wa kuipokea,,, hahahahaha [emoji23] [emoji23]Tanzania kwanza
Ila huyu alikiba akitajwa hiyo tuzo itaenda Kenya au Tanzania!!?
Hapo mtihani
Utafute jamaa anaimba vizuri sanaNitautafta huo wimbo
ngoja tuoneYani nasubiria kwa hamu sana Tanzania tupate kuanzia tuzo Tatu kwenda mbele
channel gani???Azam MTV Bse nao wako live
Aka-baddest ndo itachukuasaut soul watachukua tena best collabo
Upo adi huku?korrede kavaa ovaroll kwenye red carpet [emoji16]
ya kwao wote au hujui collaboration maana yakeNyimbo ni ya saut soul
channel gani???
kasemajeYani anatetemeka ila kanifuraisha anavoongea
natakiwa niwe wapi kwani?Upo adi huku?