Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Hahahah! Jumamosi nilitamani niwe mod nidelete jukwaa la celebrities kwa muda.. Maana daaaahh ilikuwa balaa, watu walitukalia kooni hatukohoiOh dear [emoji17]
Mambo yalifika huku?Pole sana.