Ni miguu yako nimekuangaliziaHata sijui nipo bar na mimekalia kiti kirefu siwezi kujuangalia nihakikishe kama ni yangu[emoji6]
nataka nione mond anachukua tuzo auhulali?
Ww utakua mhaya si bureHata sijui nipo bar na mimekalia kiti kirefu siwezi kujuangalia nihakikishe kama ni yangu[emoji6]
umeblock pm sikupatiPoa njoo nakusubiri
Sio rahisi kwakweli jamaniSeriously ulitegemea Vee Money ampiku Yemi Alade...
Haipo hata moja kwa tz mwaka huu na hiyo ndio factTupate hata moja yakufutia machozi
Sioni tumaini kabisaHaipo hata moja kwa tz mwaka huu na hiyo ndio fact
Umelenga kisa kiba hanaga tuzoHawa wasanii wa bongo wakose wote tu..wanakuaga na nyodo mpka basi...
Unafki.Bora tusipate hata tunzo moja maana hizi timu zimejaa uswahili uswahili
Same applies to Kiba and Simba...akichukua mmoja wapo nitafute nakupa Tzs 50,000Sio rahisi kwakweli jamani
Vanesa bado nyimbo zake hazieleweki hafu uzungu mwingi Yemi nyimbo zake kila sehemu had kwenye mashereheEast Africa kutoa best female bado sana tukubaliane na ukweli, juhudi za Yemi Alade mwaka huu kila mtu kaziona acha achukue tu.
Hahahaha nakuunga mkonoBora tusipate hata tunzo moja maana hizi timu zimejaa uswahili uswahili