Naomba kuuliza wametangaza wapi hicho ulichoandikaMtv awards safari hii wamekurupuka walipanga wasifanye mwaka huu lakini wakageuza mawazo ndo maana wamegeuza mawazo
Vipengele muhimu kama best female hakipo, breakthrough artist hakipo
Song of the year hakuna
Video of the year hakuna
Kibakuli ndo nani sjawah kumsikia mbonaHa ha aah Kibakuli hayupo ,yeye zake tuzo za kili tu bhaaas ndio saizi yake
Dah hahaa aise...hayaawe mtake radhi dai, black coffee ndio wa kumkimbiza dai? hauwezi ukawa serious
LOL hizo comments nimezikuta whatsap, inta.. mbona unashtuka hata king kiba mwenyewe alishasema.. kazi kwel kwelhivi huwa unafikiria kabla ya kupost?
wanadai domo ana pesa za freemason anahonga mpaka BET KAZI KWEL KWELDuuu amepata na hela ya kuhonga... Haya mambo yapo bongo tu kunako tuzo za kill
Hahaha kumbe tuzo ni bahatiAlibahatisha pale alaf bahati haijagi mara 2
kule BET huyo alimng'oa DOMO KUBWA hadi akalia so mpgieni kura DOMO wenu siyo tuzo inachukuliwa na wengine mnalialiawe mtake radhi dai, black coffee ndio wa kumkimbiza dai? hauwezi ukawa serious
Wakitajwa wanamuziki wenye mkwanja MREFU mnakataa hawezi kuwa yeye wa kwanza,ila akichukua tuzo mnasema anahonga kwa sababu ana pesa nyingi !!!!!!!!!!!wanadai domo ana pesa za freemason anahonga mpaka BET KAZI KWEL KWEL
huyo jamaa ni moto mpaka DRAKE kamshirikisha kwenye wimbo wake ujue dogo anajua kweli halafu hana sifa za kijingaDai habeni tuzo, tuzo anachukua wiz kid.. Niamini, na sababu za wiz kid kubeba tuzo ni, Muda mrefu wamemnyongea baharini wakati sauti yake ni kama mbegu, ukiipanda lazima ichanue. Hakuna msanii anaejiuza Afrika na njee kama Wiz kid.
Eti bro, tuzo za KTMA zitafanyika lini ??kule BET huyo alimng'oa DOMO KUBWA hadi akalia so mpgieni kura DOMO wenu siyo tuzo inachukuliwa na wengine mnalialia
hizo zinaitwa KILL MUSIC AWARDS [UA TUZO ZA MUZIKI] ndo zimesha dead tusubirie december za EAT MUSIC AWARDSEti bro, tuzo za KTMA zitafanyika lini ??
Mkuu hizo hoja kuhusu diamond kununua tuzo kwangu hazina mantiki wala ukweli wowote.. hizo ni comments ambazo fans wa kiba wamekua wakimjaza na kumdanganya ya yeye anaamini na kusema live kwenye mediaWakitajwa wanamuziki wenye mkwanja MREFU mnakataa hawezi kuwa yeye wa kwanza,ila akichukua tuzo mnasema anahonga kwa sababu ana pesa nyingi !!!!!!!!!!!
Poa,nimekusoma.Mkuu hizo hoja kuhusu diamond kununua tuzo kwangu hazina mantiki wala ukweli wowote.. hizo ni comments ambazo fans wa kiba wamekua wakimjaza na kumdanganya ya yeye anaamini na kusema live kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....eti dai.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo