Mtv Mama's 2016 Nominees live updates

Mtv Mama's 2016 Nominees live updates

Kila la heri...emtee..ricky rick and edy kenzo
 
Dai habeni tuzo, tuzo anachukua wiz kid.. Niamini, na sababu za wiz kid kubeba tuzo ni, Muda mrefu wamemnyongea baharini wakati sauti yake ni kama mbegu, ukiipanda lazima ichanue. Hakuna msanii anaejiuza Afrika na njee kama Wiz kid.
 
Mtv awards safari hii wamekurupuka walipanga wasifanye mwaka huu lakini wakageuza mawazo ndo maana wamegeuza mawazo
Vipengele muhimu kama best female hakipo, breakthrough artist hakipo
Song of the year hakuna
Video of the year hakuna
Naomba kuuliza wametangaza wapi hicho ulichoandika
 
Dai habeni tuzo, tuzo anachukua wiz kid.. Niamini, na sababu za wiz kid kubeba tuzo ni, Muda mrefu wamemnyongea baharini wakati sauti yake ni kama mbegu, ukiipanda lazima ichanue. Hakuna msanii anaejiuza Afrika na njee kama Wiz kid.
huyo jamaa ni moto mpaka DRAKE kamshirikisha kwenye wimbo wake ujue dogo anajua kweli halafu hana sifa za kijinga
 
Chibu yupo busy na Mabeto....tuzo mwaka huu zitampitia kushuto sanaaa....!
 
Domo ana advantage kubwa saana ya kushinda kwenye hiyo category yake
 
Wakitajwa wanamuziki wenye mkwanja MREFU mnakataa hawezi kuwa yeye wa kwanza,ila akichukua tuzo mnasema anahonga kwa sababu ana pesa nyingi !!!!!!!!!!!
Mkuu hizo hoja kuhusu diamond kununua tuzo kwangu hazina mantiki wala ukweli wowote.. hizo ni comments ambazo fans wa kiba wamekua wakimjaza na kumdanganya ya yeye anaamini na kusema live kwenye media
 
Poa,nimekusoma.
 
Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....eti dai.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom