MTV Music Awards June 6th, 2014


Tuzo saba za kili zilimpa wazimu
 
Hyo BET wasimalize hata hzo nauli zao,kule hapati chochote labda waende kupiga picha watuwekee kwenye instagram kuwa ukumbini walikuwepo pamoja na kina king James,Wayne,Drake,Nick Minaj.

una Hakika watakua wanamaliza nauli????
pesa kazi yake matumizi...
 
Nimecheka sana. Eti 'Mjini kote Skelewu, Ngololo mwisho Chalinze!'
 
Pamoja hakuchua tunzo hila alipiga show nzuri sana yeye na davido!
Hii ni hatua nzuri kwake hata kama hajashinda.
Hongera diamond.
 
Wabongo tuna kawaida ya kuwajaza sifa wasanii wetu hadi wanajiona kweli wanastahili tuzo Za kimataifa. Ukweli ulio wazi haikuwa rahisi kwa Diamond kupata Tuzo kulingana na wale aliokuwa akichuana nao.
Kwa Bahati njema kutokana na shughuli zangu nimetembea zaidi ya nchi kumi Za Afrika kwa kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka sasa.
Wanamuziki wote waliokuwa wakiwania Tuzo na Diamond nyimbo zao nilizisikia zikipigwa kwenye radio na TV Za ndani Za nchi hizo, tofauti na Diamond ambaye nilizisikia Kenya, Uganda na Nigeria nilisikia kwenye channel Kama mbili au tatu.
Na hata hapa SA tuliyekuwa tukimpa nafasi ya kutwaa Tuzo ni Sisi Watanzania tuliokuja pamoja na wachache wanaoishi hapa, ambao Mara zote husupport wa nyumbani.
Ninachoomba kwenu, tusiwajaze sana sifa wasizostahili kwa hatua Za kimataifa hawa wasanii wetu ili wasijione wamemaliza na kubweteka.
Zaidi napenda kumuunga Diamond, aweke mikakati ya kujiendeleza kimuziki ikiwemo kusomea fani na kuandaa kazi nzuri zaidi.
Ova
 
Mhh jaman kibiongo bongo noma mtu akiwa mchafu ooh mvuta bangi na unga na akiwa msafi ndo taabu ooh Mtoto c rizki sasa waja wanatakaniii

Nataka apunguze kujiremba
 
Inashangaza jinsi watanzania wengi wanavyofurahia kushindwa kwa Diamond,shame on u.Nini sababu ya chuki zote hizi,wivu ama?
 
Inashangaza jinsi watanzania wengi wanavyofurahia kushindwa kwa Diamond,shame on u.Nini sababu ya chuki zote hizi,wivu ama?

unawashangaa Tanzania badala ya kuwashangaa waingereza waliosherehekea kifo cha Margaret Thatcher
 

Juma Mpogo yupo hai, aliyekufa ni Omary Omary. Je unadhani vijana wakisasa watakuelewa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…