MTV Music Awards June 6th, 2014

Du huyu kijana kasahau kabisa kama kuna kitu ramadhani mbele kelele nyingi kwenye award tu siku wakifa zote wataziacha ndani nyie WATOTO wa kiislam jitambueni hii dunia
 
Hizi ni updates za matkio mbali mbali kuhusu Diamond masaa ya mwishon mwisho kabla ya Tuzo hapo kesho..Diamond pia kaongezwa kwenye orodha ya watakao tumbiza, baada ya Trey Songz

.........
Kiswahili bado ni shida
 
Hiyo show inaanza saa ngapi kwa huku kwetu?.all the best diamond'

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Du huyu kijana kasahau kabisa kama kuna kitu ramadhani mbele kelele nyingi kwenye award tu siku wakifa zote wataziacha ndani nyie WATOTO wa kiislam jitambueni hii dunia

We huendi ofisini kisa ramadhan?

Au umesahau nae yupo kazini kama wewe mkuu
 
Kila la kheri diamond hope utafanya viziri tu

Atafanya vuzuri kwa kipi?Labda kucheza sio kuimba anawekewa cd na bado sautiii mbayaaaa pumzi hana
Yaani huyu dogo siku akiimba live ndio nitajua kaiva ila kwa sasa bado kabisaa
 
Ina maana wamesahau kumtaja kiface au makusudi
 
Visket na viskinty mpaka phumbu zinaonekana aache......anatiaga aibu wakati mwingine na vinguo vyake.
 
All the best Diamond.....lakini hiyo combination ya hao mameneja ni kiboko.....nasubiri sana outcome ya hii timu yenye Babu Tale na Mkubwa Fella......

hapo kuna ushirikina +utapeli
 
Atafanya vuzuri kwa kipi?Labda kucheza sio kuimba anawekewa cd na bado sautiii mbayaaaa pumzi hana
Yaani huyu dogo siku akiimba live ndio nitajua kaiva ila kwa sasa bado kabisaa

Ni mazoezi tu akiamua anaweza sana
 
wanamwita michael jackson wa east africa huyo
 
Ni mazoezi tu akiamua anaweza sana

Namuombea aamue .....sababu kuna njia ya kuingia kimataifa sasa na anaiwakilisha Tanzania.
Ila akiendelea na mazoea yake sijuhi kama ataweza kuperfom live na hata kina P Square
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…