MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

davido na diamond wakipewa maelekezo stejin.jpgdiamond na dancers wakat wa mazoezi.jpgwcb dancer wakisikiliza maelekezo ya diamond.jpg
Diamond anaungana na Trey song kuperfom usiku huu wkati wa utoaji wa tuzo za MTV
Pichani ni mazoezi ya mwisho mwisho ambapo wcb dancers wataungana na dancers wa Afrika kusin ..
kwa updates na picha za matukio ya diamond ,tembelea www.thisisdiamond.com
na wale walio insta follow official page ya wasafi @ wcb_wasafi pia page yangu ya @ kifesi ..more updates to come..thanx
 
Ndio hivyo utujulishe kitakachojirii lazima tupende vya kwetu jamanii

Ni kazi ngumu kuupdate kila sehemu ,ndio man hapa huw naweka pic chache.. cha msingi follow officia IG page ya wasafi @ wcb_wasafi pia page yangu @ kifesi
or www.thisidiamond.com huko naweka kwa mapana na malefu Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Asije tu kodondoka jukwaani kama yule miss tanzania kule china hahaha...full kuogopa akaze kota kweli kweli!
 
Daimond hongera kwa hatua uliyofikia, nakuombea utwae tuzo.
 
diamond anajiandaa kufungua show kwa kuperfom on stage
 
Tuondoe utata jf ni kila kitu

Wakuu hivi tunzo za mtv anazoshindania diamond ni leo au ilikuwa jana?
 
Back
Top Bottom