MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

mtv watarusha live saa nne kamili... so bado kidogo
 
Best collabo kachukua Proffesa wa sauz...Diamond kaanguka
 
Hawa mtv base hawaeleweki wamesema wataanza saa 20:00 lakini mpaka sasa wanakata viuno tu.
 
mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male
 
mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male
Hiyo aliyo kosa ndio nilikuwa na imani nayo sana kuliko iliyo baki.
 
Back
Top Bottom