heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393



Diamond anaungana na Trey song kuperfom usiku huu wkati wa utoaji wa tuzo za MTV
Pichani ni mazoezi ya mwisho mwisho ambapo wcb dancers wataungana na dancers wa Afrika kusin ..
kwa updates na picha za matukio ya diamond ,tembelea www.thisisdiamond.com
na wale walio insta follow official page ya wasafi @ wcb_wasafi pia page yangu ya @ kifesi ..more updates to come..thanx