MTV Music Awards June 6th, 2014

Ndo tatizo la copy and paste... What is next in south Africa?.. Mleta maada
 
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....
 
Mawazo potofu"!!!!"!"!""





Davido anavaa kiume sio kisharobaro kama domo wetu sema ukwelii usafi umepitilizaaa hata sielewiiii

Mhh jaman kibiongo bongo noma mtu akiwa mchafu ooh mvuta bangi na unga na akiwa msafi ndo taabu ooh Mtoto c rizki sasa waja wanatakaniii
 
Davido anavaa kiume sio kisharobaro kama domo wetu sema ukwelii usafi umepitilizaaa hata sielewiiii[/QUOTE]

jamani hao vijana wanavaa kisasa kutokana na aina ya muziki wanaoimba, hawaiimbi vigodoro wala mdundiko .mwanaume pia anahitajika awe msafi na pesa anatafuta sio mbaya
 
Mkuu kuna wapiga picha na blogger wengine waliokuja huku,kuna Millard,yupo jamaa wa bongo5,Sammisago etc..Michael mlingwa aka mx ni mpiga picha wa Kujitegemea japo kuna kipindi husafiri na Dimpoz
 
So atajwe kila mtu??,dancers wote wapo na wasaidiz wengine ,mbona hujauliza why hawajatajwa
kazi zangu ni za nyuma ya pazia..si lazima nitajwe tajwe
 
E

Huyo desert on earth nishobo tu! Mx carter tunamjua ndo mpigapicha mjini!
View attachment 163305
Nazzni nimekujibu vizuri kwenye hii pic.. hiv kama waona mi mbovu cjui shobo tu as u said..japo hunijui waniona tu mitandaoni..nikuulize ..Diamond anaridhika na huo upiga picha wangu mbaya wakati ni msanii wa kimataifa picha ninazopiga zinatazamwa na wengi Duniani ama we unamanisha nini?wacha wivu mjomba kayaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…