Morning wakuu!
Kama ilivyo kawaida ya waswahili kuoneana wivu ndivyo ilivotokea baada ya msanii Alikiba kutangaza kufanya colabo na Neyo, Hali hiyo imeikaisirisha management ya Mondy na kuamua kumtuma Salim sk ambaye ni miongoni mwa meneja wa Mondy kwenda Nchin Kenya kuomba collabo Neyo ili imiwezekana lifanyike haraka na kurelease wimbo kabla hata ya collabo la Kiba na Neyo halijatoka.
Kwa bahati mbaya au nzuri Salim amekuta tayar collabo ya kiba ndiyo imeanza jana usiku na baada ya coke studio itaachiwa rasmi.

Nakushauri kiba hebu jiamini huu ni mziki kila msanii ana ratiba zake hatazikitoka kwa pamoja shida hiko wapi we si unajua basi ndo muda wakutuonyesha kuwa unajua na si wakubebwa kama inavyoelezwa piga kazi fanya yako ya DIAMOND hayakuhusu kama alienda akalia akagalagala ni yeye mimi natamani zitoke kwa pamoja ili tuone nani mkali we unaonaje kiba???????? mbona kiba hautaki mwenzio atoe nyimbo wewe unapotaka kutoa nyimbo vipi humpangie?????. Hivi kiba ya DIAMOND yanakuhusu nini we si unajiamini piga kazi.
Kiba ataimba nini na neyo
Tuwe wakweli sometimes