MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Maneno ya Watasha:Birds of the same feathers fly together" so tc not surprising.acha movie iendelee
 
Morning wakuu!

Kama ilivyo kawaida ya waswahili kuoneana wivu ndivyo ilivotokea baada ya msanii Alikiba kutangaza kufanya colabo na Neyo, Hali hiyo imeikaisirisha management ya Mondy na kuamua kumtuma Salim sk ambaye ni miongoni mwa meneja wa Mondy kwenda Nchin Kenya kuomba collabo Neyo ili imiwezekana lifanyike haraka na kurelease wimbo kabla hata ya collabo la Kiba na Neyo halijatoka.

Kwa bahati mbaya au nzuri Salim amekuta tayar collabo ya kiba ndiyo imeanza jana usiku na baada ya coke studio itaachiwa rasmi.
 
Nakushauri kiba hebu jiamini huu ni mziki kila msanii ana ratiba zake hatazikitoka kwa pamoja shida hiko wapi we si unajua basi ndo muda wakutuonyesha kuwa unajua na si wakubebwa kama inavyoelezwa piga kazi fanya yako ya DIAMOND hayakuhusu kama alienda akalia akagalagala ni yeye mimi natamani zitoke kwa pamoja ili tuone nani mkali we unaonaje kiba???????? mbona kiba hautaki mwenzio atoe nyimbo wewe unapotaka kutoa nyimbo vipi humpangie?????. Hivi kiba ya DIAMOND yanakuhusu nini we si unajiamini piga kazi.
 
Kwani hata wasanii wote tz wakifanya. Collabo na neyo tatizo liko wapi??..tuache ligi zisizokuwa na maana.."tz" kamata fursa twe nzetu
 
Morning wakuu!

Kama ilivyo kawaida ya waswahili kuoneana wivu ndivyo ilivotokea baada ya msanii Alikiba kutangaza kufanya colabo na Neyo, Hali hiyo imeikaisirisha management ya Mondy na kuamua kumtuma Salim sk ambaye ni miongoni mwa meneja wa Mondy kwenda Nchin Kenya kuomba collabo Neyo ili imiwezekana lifanyike haraka na kurelease wimbo kabla hata ya collabo la Kiba na Neyo halijatoka.

Kwa bahati mbaya au nzuri Salim amekuta tayar collabo ya kiba ndiyo imeanza jana usiku na baada ya coke studio itaachiwa rasmi.

hii n project ya coke studio ndo maana hata ice prince yupo na sio wimbo wa kiba ft neyo kuwa muelewa kiba kila cku ana bebebwa ila habebeki poleee yke
 
Morning wakuu!

Kama ilivyo kawaida ya waswahili kuoneana wivu ndivyo ilivotokea baada ya msanii Alikiba kutangaza kufanya colabo na Neyo, Hali hiyo imeikaisirisha management ya Mondy na kuamua kumtuma Salim sk ambaye ni miongoni mwa meneja wa Mondy kwenda Nchin Kenya kuomba collabo Neyo ili imiwezekana lifanyike haraka na kurelease wimbo kabla hata ya collabo la Kiba na Neyo halijatoka.

Kwa bahati mbaya au nzuri Salim amekuta tayar collabo ya kiba ndiyo imeanza jana usiku na baada ya coke studio itaachiwa rasmi.

NE-YO IN KENYA

11201609_10153565768787012_7119675161688891380_n.jpg

Just landed in Africa! Shoutout to #KenyaAirways for the smooth flight #NONFICTION2015#CokeStudioAfrica
11915735_10153564239457012_3962219987706349981_n.jpg
 
kiba embu fanya mambo ya maana mashabiki zako wapate usingizi jamani, mtakesha hivi mpaka lini sasa, unajua sometimes wanaonea huruma basi tuu, kama mtoa mada maskini doooooh!! diamond anakupa jotroo sana. manaoe sio kuchanganyikiwa huku ni balaa, badala uunguze MB zako kumuongelea kiba zote unamalizia kwa diamond, kwanini usingetumia MB zako kuanzisha uzi wa kuongelea project ya kiba na Neyo?? kama kweli unajitambua??
 
Nakushauri kiba hebu jiamini huu ni mziki kila msanii ana ratiba zake hatazikitoka kwa pamoja shida hiko wapi we si unajua basi ndo muda wakutuonyesha kuwa unajua na si wakubebwa kama inavyoelezwa piga kazi fanya yako ya DIAMOND hayakuhusu kama alienda akalia akagalagala ni yeye mimi natamani zitoke kwa pamoja ili tuone nani mkali we unaonaje kiba???????? mbona kiba hautaki mwenzio atoe nyimbo wewe unapotaka kutoa nyimbo vipi humpangie?????. Hivi kiba ya DIAMOND yanakuhusu nini we si unajiamini piga kazi.

pole mamake Diamond...umeandika kwa hisia kweli dah!..kweli uchungu wa mwana aujuae mzaz...KIBA NDO HIVYO TENA HASHIKIKI MAMANGU hakuna la kuufanya maana waswahilki husemaaa....SIMBA MWENDA POLEE...??
 
Diamond tulimpandisha wenyewe na tutamshusha..subir aende kwenye uznduz wa kampen.za ccm.pale jangwan
 
Back
Top Bottom