MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

pole mamake Diamond...umeandika kwa hisia kweli dah!..kweli uchungu wa mwana aujuae mzaz...KIBA NDO HIVYO TENA HASHIKIKI MAMANGU hakuna la kuufanya maana waswahilki husemaaa....SIMBA MWENDA POLEE...??
Inaonyesha unayachukia sana majukumu yako ya kuwa mama
 
hhhhhhaaaahhhhhhaaaaaaaaaaaaahhhhhhhaaaaaaaaaaaassaaa
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa
hhjhjhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
HALLLLLLLLLLOOOOOOOOOOOOOWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWEEEE
 
Watu na roho zao mbayaaaaaaaaaaaa......!!!
walisubiri aje cokes studioooo
si wangemfata
sasa mnyenyooosha au mmenyooshwaaaaaaaaaaa,
bbbbwwwwaaaaaaahhhhhhjhhhhjh!
 
+Hii project ya neyo na coke studio inaonekana mashabiki wa Kiba hawajaielewa vizuri, hii ni kawaida ya coke studio kumleta msanii mmoja mkubwa katika kila season kufanya wimbo mmoja na wasanii wengine wa Africa waliopo coke studio na hii ilianza mwaka jana ambapo Wyclif jean alitoa wimbo na kina Shaa!

+na wimbo ukitoka huwa ni mali ya coke company hautapigwa ktk TV yoyote wala kuingia kwenye chart yoyote zaidi ya kuwekwa kwenye channel ya coke YouTube

+hapo ndo kama Kiba mjanja atumie fulsa hii kuomba collabo yake na neyo sio analala lala mpaka abustiwe na mashabiki!
 

mkuu inamaana hujui kilichotokea au
 

Mondy naye aliwahi kwenda Kenya kwenye coke studio, je alifanya collabo gan na msanii gan mkubwa wa America?
 
Wapi mkuu, maelezo yangu umeyaelewa lakini me sijazungumzia manager wa Diamond nimezungumzia kuhusu ile wanayodai collabo ya Kiba ft neyo
mkuu ingia hiyo blog ya kenya hapo juu halafu uendelee kubisha soma hiyo habari
 
sasa ni uongo hiyo blog ni ya kenya sio bongo

Aiseee we Kilaza waonyeshe picha ya diamond mbona na meneja wameonyesha acha uboya tumia akili we sasa blog c wanataka wauze story ya Mr icon au ujui we kuingia ushawaingizia ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…