+Hii project ya neyo na coke studio inaonekana mashabiki wa Kiba hawajaielewa vizuri, hii ni kawaida ya coke studio kumleta msanii mmoja mkubwa katika kila season kufanya wimbo mmoja na wasanii wengine wa Africa waliopo coke studio na hii ilianza mwaka jana ambapo Wyclif jean alitoa wimbo na kina Shaa!
+na wimbo ukitoka huwa ni mali ya coke company hautapigwa ktk TV yoyote wala kuingia kwenye chart yoyote zaidi ya kuwekwa kwenye channel ya coke YouTube
+hapo ndo kama Kiba mjanja atumie fulsa hii kuomba collabo yake na neyo sio analala lala mpaka abustiwe na mashabiki!