MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Mondy naye aliwahi kwenda Kenya kwenye coke studio, je alifanya collabo gan na msanii gan mkubwa wa America?

+Bora wewe umenielewa kua hii collabo sio Kiba ft neyo.

+Maana kwa hilo swali lako unaonekana umeelewa vzr.

+jibu ni kwamba Mondi hakufanya ile collabo na Wyclif jean, alimuachia Shaa, ikumbukwe kua katika hizo collabo kila nchi huwakilshwa na msanii mmoja
 
We pwilo soma hapo..uelewe uache kusumbua
 
Last edited by a moderator:
Aiseee we Kilaza waonyeshe picha ya diamond mbona na meneja wameonyesha acha uboya tumia akili we sasa blog c wanataka wauze story ya Mr icon au ujui we kuingia ushawaingizia ela

huyo meneja wako salaam si ndo alisema menejiment ya kiba inaiba nyimbo zako hujiulizi kwa nn wamepiga picha pamoja we huoni ni ajabu hiyo???
 
huyo meneja wako salaam si ndo alisema menejiment ya kiba inaiba nyimbo zako hujiulizi kwa nn wamepiga picha pamoja we huoni ni ajabu hiyo???

Kumbe alisema menejiment sio kiba
 
We bwana tupo bize na lowassa tunaleta ukombozi haya mambo ya kibakul na domo achana nayo...kwanza

Cc nifah cute b atoto Kendrick

lowasa kashapita kelele za nn we ngoja mda ufike tupige kura ila leo kazi mnayo jiteteeni basi kwa nn kapiga picha na kiba huyu boya wenu
 
Last edited by a moderator:
We bwana tupo bize na lowassa tunaleta ukombozi haya mambo ya kibakul na domo achana nayo...kwanza

Cc nifah cute b atoto Kendrick

Bwana semeji si unajua mie mpinzani wako kila mahali isipokuwa sehemu moja tu!!! Mie nishazeeka usiniite tena huku.
 
Last edited by a moderator:
lowasa kashapita kelele za nn we ngoja mda ufike tupige kura ila leo kazi mnayo jiteteeni basi kwa nn kapiga picha na kiba huyu boya wenu

audio wakati maandishi nimekuwekea hapo soma picha huamini kilichotokea leo ww subiri tuwanyooshe nyinyi

We jamaa king'ang'aniz sana duh..
 
Bwana semeji si unajua mie mpinzani wako kila mahali isipokuwa sehemu moja tu!!! Mie nishazeeka usiniite tena huku.

umepotea kama mia tano mpya nakusalimia tuu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…