Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ingia hiyo blog ya kenya hapo juu halafu uendelee kubisha soma hiyo habari
Mondy naye aliwahi kwenda Kenya kwenye coke studio, je alifanya collabo gan na msanii gan mkubwa wa America?
Aiseee we Kilaza waonyeshe picha ya diamond mbona na meneja wameonyesha acha uboya tumia akili we sasa blog c wanataka wauze story ya Mr icon au ujui we kuingia ushawaingizia ela
+Hii project ya neyo na coke studio inaonekana mashabiki wa Kiba hawajaielewa vizuri, hii ni kawaida ya coke studio kumleta msanii mmoja mkubwa katika kila season kufanya wimbo mmoja na wasanii wengine wa Africa waliopo coke studio na hii ilianza mwaka jana ambapo Wyclif jean alitoa wimbo na kina Shaa!
+na wimbo ukitoka huwa ni mali ya coke company hautapigwa ktk TV yoyote wala kuingia kwenye chart yoyote zaidi ya kuwekwa kwenye channel ya coke YouTube
+hapo ndo kama Kiba mjanja atumie fulsa hii kuomba collabo yake na neyo sio analala lala mpaka abustiwe na mashabiki!
we ndo kilaza baada ya kufukuzwa na walinzi wa neyo akasema kamfuata kiba
Aiseee we Kilaza waonyeshe picha ya diamond mbona na meneja wameonyesha acha uboya tumia akili we sasa blog c wanataka wauze story ya Mr icon au ujui we kuingia ushawaingizia ela
huyo meneja wako salaam si ndo alisema menejiment ya kiba inaiba nyimbo zako hujiulizi kwa nn wamepiga picha pamoja we huoni ni ajabu hiyo???
Sasa tatizo nn diamond kaenda kumfata neyo kufanya kolabo izo ndo fursa we unataka amfate atlanta
Haaaah leta ushahidi wa audio akisema kamfata kiba
Kumbe alisema menejiment sio kiba
lowasa kashapita kelele za nn we ngoja mda ufike tupige kura ila leo kazi mnayo jiteteeni basi kwa nn kapiga picha na kiba huyu boya wenu
audio wakati maandishi nimekuwekea hapo soma picha huamini kilichotokea leo ww subiri tuwanyooshe nyinyi
Bwana semeji si unajua mie mpinzani wako kila mahali isipokuwa sehemu moja tu!!! Mie nishazeeka usiniite tena huku.