Ndo mumwache kiba hizo habari za kutimuliwa zimeenea social media nyingi. Na huyo sijui salamu si ndo alikua ana mu diss kiba.Me roho ilikuwa hainuumi nilisikitishwa ni MTU kuja humu na kutangaza habari za kiuzushi et neyo kamtimua manager salaam
Mlikua mna mshambulia kiba kumbe roho zilikuwa zinauma ndo mkawa mna ponda eeeh. Any way good move kwao
Ndo mumwache kiba hizo habari za kutimuliwa zimeenea social media nyingi. Na huyo sijui salamu si ndo alikua ana mu diss kiba.
Leo aibu imewafika, hadi neyo kaelewa mziki wa kiba mmebaki ninyi teamDNA
Hajawahi mdiss kiba Ali diss management ya rockstar kuuza nyimbo za Icon wa taifa
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabishaNdio wanaingiza vocal kazi ya coca cola sio ya,kiba haaaaah hajamtaja kibakuli daaah
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha
mkuu kumbe umeanzisha thread ili ulipe machungu yako hahaha
mlivyomdhalilisha jokate sema kiba mstaarabu hajapost kwenye a/c yake ile picha na salaam skHajawahi mdiss kiba Ali diss management ya rockstar kuuza nyimbo za Icon wa taifa
mlivyomdhalilisha jokate sema kiba mstaarabu hajapost kwenye a/c yake ile picha na salaam sk
mkuuu anaupinga ukweli huyo tena huyo salaam ashukuru kiba kamsaidia mana angeaibika vibaya sanaAlimdiss labda ulipitiwa alimwambia yeye kazi yake kufanya show sebuleni na tunzo za kill na tuzozawatu alipendelewa na aliandika kwenye Instagram yake na leo watu wameiweka kumkbusha
ile picha ni mapaparazi wa kenya ndo wamepiga ila yy alikuwa hajui ilikuwa anatumia simu yake salaanIlitumika CMU ya kiba kupiga picha
ile picha ni mapaparazi wa kenya ndo wamepiga ila yy alikuwa hajui ilikuwa anatumia simu yake salaan
Alimdiss labda ulipitiwa alimwambia yeye kazi yake kufanya show sebuleni na tunzo za kill na tuzozawatu alipendelewa na aliandika kwenye Instagram yake na leo watu wameiweka kumkbusha
Wanaume hawanaga tabia za kununiana iyo ilikuwa past
Ulikua unakataa nini sasa unakubali nini😃😃😃...ndio maana binadamu wanambiwa waweke akiba ya maneno ona leo alivyoumbuka..kiba kweli mstaarabu amemstiri
Leo aibu imewafika, hadi neyo kaelewa mziki wa kiba mmebaki ninyi teamDNA