MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Yaani waTz sijui ni nini. Neyo mwenyewe kwenye Instagram yake kaandika he is in Kenya to record mashup with 5 artists from Kenya, Uganda, Tanzania and Nigeria. Sasa ni nini waTanzania wanapiga vigelegele kama vile Neyo is in Kenya to record a collabo na Ali Kiba peke yake? Tunajiaibisha especially nyie akina Shardcole and pwilo

View attachment 278148
nikikwambia ukweli ya kilichotokea kenya hutaweza vumilia we endelea na roho mbaya yako wewe na kedrick kwamba kiba hawezi kuimba na neyo
 
Last edited by a moderator:
nikikwambia ukweli ya kilichotokea kenya hutaweza vumilia we endelea na roho mbaya yako wewe na kedrick kwamba kiba hawezi kuimba na neyo

Wewe nae mbishi kama mshipa. Nani kasema Kiba hawezi kuimba na Neyo? Tunachosema hapa ni kwamba nyie ni waongo mnadanganya kwamba Neyo na Kiba are doing a collabo, which is a lie. You are a liar and stop it. Neyo is going to sing with Kiba, Wangeci, Flavor etc wote kwa pamoja just like he said it in his instagram post.
 
ingekua wao yupo kule msanii wao ndo yupo kule halafu akaenda mpambe wa kiba dahh
tungetukanwa mnook humu

ushauri tujifunze kuheshimiana tusidharauline jamanj u never know lini utamtamhtaji huyo kwenye shida au raha
au mtakutana mazingira gani
 
hhhhhahhhhhaaaaaaassas......!!!
hata project bado ni bonge la zaliiii!!!!mana kuna watu wanatamani hawapati ng'oooo!!
 
Kibakuli c anatembeaga n mademu wa mtaani wao kuzaa na msanii wanaona deal

Ebu peleleza sasa, mama watoto mmoja yupo UK, mwingine Upanga...mtarajiwa wetu Kidoti yupo naye Kenya.
Wewe mtoto wa kiume unatembea na mademu wa mtaani kwenu au mtaa wa jirani??
 
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha

ingia bongo 5 kuna iyo story japo wamechelewa kuipaTA neyo kutaka collabo n diamond, p.square na vanessa mdee ya kiba kafabya tu kwasababu ya ela ya coke studio ila ana mpango wa kufanya nae kazi binafsi
 
Wewe nae mbishi kama mshipa. Nani kasema Kiba hawezi kuimba na Neyo? Tunachosema hapa ni kwamba nyie ni waongo mnadanganya kwamba Neyo na Kiba are doing a collabo, which is a lie. You are a liar and stop it. Neyo is going to sing with Kiba, Wangeci, Flavor etc wote kwa pamoja just like he said it in his instagram post.
sijakulazimisha ukubali usinilazimishe nikubali uongo wako kila mtu abaki na mawazo yake
ova
 
ingia bongo 5 kuna iyo story japo wamechelewa kuipaTA neyo kutaka collabo n diamond, p.square na vanessa mdee ya kiba kafabya tu kwasababu ya ela ya coke studio ila ana mpango wa kufanya nae kazi binafsi
kasikilize vizuri au kizungu kimekupitia kushoto kasema wasanii nje ya cokestudio atakaofanya nao collabo ndo hao
 
So Neyo posted this on his Instagram and akina pwilo na Shardcole plus crew nzima ya team Kiba sijui hawakuelewa kiingereza? The guy is there for Coke Studio acheni ulimbukeni mnatuaibisha mnavyo comment kwenye page ya Neyo mkimdiss Diamond. Neyo met Diamond last month in South Africa for MTV, he even mentioned Diamond in his TV interview as the artist he was looking forward to meet. Ni vitu vya kawaida mno, embu tulieni. Salaam ameenda huko Coke Studio hatujui ameenda kuongea nini na Neyo ukizingatia walishakutana South Africa last month.
Nyie akina pwilo na Shardcole ndio mnamuharibia Kiba fan base yake kwa kupost ujinga na kumtafutia beef na fans wa Diamond. Grow up kids!!

View attachment 278152
acha umbulula ww
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1439988017528.jpg
    1439988017528.jpg
    26.8 KB · Views: 137
Eti Neyo kamfuata Ali Kiba.... endeleeni kuota :dance:

Mnaaibisha na uwezo wenu finyu.

View attachment 278149

ukitaka kuchangia mada anza mwanzo wa thread ndo uchangie hizi comment ni za wakenya na hiyo picha yako kuedit na ukaweka rangi sijui umetoa wapi
 
Attachments

  • 1439988263986.jpg
    1439988263986.jpg
    38.8 KB · Views: 190
  • 1439988287441.jpg
    1439988287441.jpg
    36 KB · Views: 157
  • 1439988306177.jpg
    1439988306177.jpg
    38 KB · Views: 151
  • 1439988327827.jpg
    1439988327827.jpg
    55 KB · Views: 143
  • 1439988343291.jpg
    1439988343291.jpg
    76 KB · Views: 134
ukitaka kuchangia mada anza mwanzo wa thread ndo uchangie hizi comment ni za wakenya na hiyo picha yako kuedit na ukaweka rangi sijui umetoa wapi

i wish to know why he went there
who is he by the way?!!
over all matusi wanayomtukana aly binadamu tujifunze kubakisha maneno jamani
mnaona sasa aibu km hizi
all the way from tz to kenya kumfata neyo...
then last year coke project kwani hamkufanya na msanii wa kimataifa?
 
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha

Ile collabo ya Chris brown and Ali kiba sijui hata iliishia wapi na ile ya diamond na usher.
 
kasikilize vizuri au kizungu kimekupitia kushoto kasema wasanii nje ya cokestudio atakaofanya nao collabo ndo hao

Sasa kasema ivyo ili coke studio wasijickie vibaya wame mletea watu ambao hawakubali
 
Back
Top Bottom