pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
nikikwambia ukweli ya kilichotokea kenya hutaweza vumilia we endelea na roho mbaya yako wewe na kedrick kwamba kiba hawezi kuimba na neyoYaani waTz sijui ni nini. Neyo mwenyewe kwenye Instagram yake kaandika he is in Kenya to record mashup with 5 artists from Kenya, Uganda, Tanzania and Nigeria. Sasa ni nini waTanzania wanapiga vigelegele kama vile Neyo is in Kenya to record a collabo na Ali Kiba peke yake? Tunajiaibisha especially nyie akina Shardcole and pwilo
View attachment 278148
Last edited by a moderator: