K 4 REAL daima
Nasikia jamaa siku hizi anapigia kampeni ccm ni kweli?
sina uhakika ngoja nimuulize
Nilijua domo kaimba kifaransa kumbe ni neyo kuimba kiswahili.
Hamna jipya
Mondi bin laden
MICHAEL JACKSON WA AFRIKA
Endelea kuwanyoosha hawa hahahahahah
Ha!ha!ha! Kisa siasa...!Kipi cha ajabuuuu hapo hamjawahi kusikia kiswahili au???
Kipi cha ajabuuuu hapo hamjawahi kusikia kiswahili au???
Thread za kipuuzi hizi, mods itoen haraka kwani hakuna jipya isitoshe Neyo ni msanii aliyefulia kwa bongo neyo ni sawa na TID