MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Nilijua domo kaimba kifaransa kumbe ni neyo kuimba kiswahili.
Hamna jipya
 
Kipi cha ajabuuuu hapo hamjawahi kusikia kiswahili au???

haahahaahah acha uboya ushawahi kumsikia mwanamuziki yeyote wa marekani gramy award winner ameimba hta neno moja kwa kiswahili???

hahaahahaha tanooo kwa Michael jackson wa Afrika kuendelea kunoburudishia watu hawa hahahahaha

oyoooooooooooooo NEYOO kaimbishwa kiswahili
 
Diamond yule kibaraka wa ccm.!?au?!viva Roma viva.
 
Thread za kipuuzi hizi, mods itoen haraka kwani hakuna jipya isitoshe Neyo ni msanii aliyefulia kwa bongo neyo ni sawa na TID

Hahahaha kama sio nyie mliokuwa mnapita na matarumbeta mkituongopea neyo atatoa wimbo na kibakuli,baada ya kugundua neyo hamjui wala hana mpango wa kumjua huyo mvaa mokasi wenu,zaidi ya koku studio, sasa eti mnajipoonza kuwa neyo kafulia, tulizeni mshono sindano ya moto yajaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom