MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Hata papa Wemba aliimba kiswahili na hakushirikishwa na mtu.
 

Michael Jackson kwenye "Liberian Girl" acha unazi
 

Nyimbo ya "Baba yetu" Christopher Tin ni ya kiswahili kabisa na ilishinda Grammy...
 
Hivi mnampenda diamond kisanaa au kimahabaa?
Ur only??? Kabisa! Huwa mnaniacha hoi kwa kweli

Hahahaaa Ms.Lincoln bana. Yaani mapenzi niliyonayo kwa Diamond only God knows! Nampenda sana unconditionally. I just love him. hiyo my only ni KISANAA. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Una habari kuwa kati ya watu ninaowaombea na ye yumo?
 
Last edited by a moderator:
Team diamondplatnumz for life..

Mtu mwenye bongo flavour yake..

Nooma sana huyu mtu
 

Kwa kweli 'only God knows' mwayego.
Uwe unatuombea na sisi, sawa eee!!
 
Last edited by a moderator:
Diamond safi sana, sheddy kalipwa pesa ambayo akihangaika kwa miezi mitatu ndio anaweza akaipata...
 
Akija kuitoa hii, tutawazika wenye roho za kwanini

LAZIMA WANYOOKE
 
hadi raha

vuta pesa Chibu ndio kazi yako, Mungu akuongezeeee zaidi na zaidi

Nasubiri riaksheni ya watu watakapoona mwanao sura ya The Rel Tanzanian Sweetheart our lovely Princess Tiffah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…