Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​Muulize pia ni kwanini anafanya promo ya ccm kwa kuamriwa na Wema na si kwa maamuzi yake anaogopa nn kumkatalia ???????????sina uhakika ngoja nimuulize
haahahaahah acha uboya ushawahi kumsikia mwanamuziki yeyote wa marekani gramy award winner ameimba hta neno moja kwa kiswahili???
hahaahahaha tanooo kwa Michael jackson wa Afrika kuendelea kunoburudishia watu hawa hahahahaha
oyoooooooooooooo NEYOO kaimbishwa kiswahili

Na huyo ndiye Diamond, Keep shining my only.
Hivi mnampenda diamond kisanaa au kimahabaa?
Ur only??? Kabisa! Huwa mnaniacha hoi kwa kweli
Hahahaaa Ms.Lincoln bana. Yaani mapenzi niliyonayo kwa Diamond only God knows! Nampenda sana unconditionally. I just love him. hiyo my only ni KISANAA. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Una habari kuwa kati ya watu ninaowaombea na ye yumo?
Kwa kweli 'only God knows' mwayego.
Uwe unatuombea na sisi, sawa eee!!