MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Mkalibari

Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo
baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye
MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha
ha Neyo atajuta.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja na mimi nifungue acct huko insta nimuunge mkono dangote
 
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.

nimeshafanya yangu mbona ataomba collable mwenyewe
 
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.

Hahah dah wabongo aliyetuloga kafa.
 
Mbona coni ngote's haters humu? Mondi haka kanyota Mwana anakamaindi hatareeee
 
Hii ni nafasi ya kipekee kwa diamond akiweza kumpata Neyo kwenye collabo ya show..basi watakwenda kwenye collabo binafsi na rasmi ataanza collabo na wasanii wakubwa marekani kupitia Neyo!
Hii ni njia pekee ya Diamond kuanza kuiteka U.S.A...

Umeongea ukweli ambao wengi hawata ukubali,

Next step ya kijana Naseeb inaweza anzia hapo

Namuombea kheri sana mdogo wetu katika safar yake ya kupush mziki wetu na kuongeza kipato.
 

Waachen hao wanaompigia davido lkn tuhakikishe best live anachukuwa hakuna davido kule na naona kabisa dai anachukuwa hakuna wa kushindana nae . Msisau pia kumpigia vanessa na saut solo.
 
chibu nakuelewabalaa dogo uko poa sana kaza jombaa utafika tu unapotaka kufika
 
Hivi wadau mmeiona page ya davido ilivyovamiwa na wabongo leo baada ya kupost fans me imefikisha views milioni kwa siku kumi tu hahahahahaha nimewanyooshea mikono team wasafi hawafaiiiii davido ilibidi abadili akafuta tu hiyo siku kumi maana watu walikuwa wamekamia sio siku 10 ni 15 na kusema dangote kamnyoosha kwa siku 12 tu... daah kaka wa watu anashida
 
Huyu jamaaa ukishindana naye atakudharirisha, mimi huwa namuita bubu, yaani anaongea kwa vitendo tuuu
 

Haha kumbe mara ya kwanza aliandika cku 10 akafuta duh noma mana post yke niliyoiona kaandika in days alaf record breaker sasa cjui record ipi kavunja labda kwa video zake mwenyewe. Davido alitegemea hii vdeo ingeleta jam mtandaoni bt ya Chibu imetisha zaid.
 
Jamaa yetu wanafanya vizuri, aendelee mbele....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…